
Wasiliana nasi katika mahitaji yako ya Video pamoja na Picha
+Kuhusu WhoMedia Productions
Tunasimulia Hadithi Yako Kupitia Video Zinazovutia
Who Media Productions ni studio kamili inayohusika na mambo ya video pamoja na picha nchini Tanzania. Tuna utaalamu wa kukusaidia kutengeneza kumbukumbu za shuguli aina zote za kibinafsi kama harusi, kitchen party, mahari, birthday, baby shower na graduation. Tunatumia ujuzi wetu wa ubunifu kutengeneza video zinazosimulia hadithi yako ya kipekee kutumia vifaa vyetu vya kisasa.
Wasiliana nasi ili upate maelezo zaidi kuhusu huduma zetu.
+ Huduma zetu za Biashara
Video za Biashara
Who Media Productions ina utaalam katika kuunda matangazo ya video ya ubora wa juu kwa biashara aina zote. Tunachukua muda kuelewa biashara yako, na malengo yako ili kuunda video inayonasa ujumbe wako wa kipekee na kusimulia hadithi yako kwa njia ya kuvutia na ya kukumbukwa. Timu yetu ya wapiga picha za video na wahariri wenye uzoefu hufanya kazi pamoja ili kutoa video ambazo zitazidi kuitangaza biashara yako na kuiweka katika mwanga uzuri.

Video za 360
Who Media Productions ina ujuzi na ubunifu kuunda video nzuri na zakuvutia zinazoonyesha hoteli, nyumba za kuuzwa na pia zinazokodishwa (real estate). Video zetu za 360 digrii zimeundwa kuwafanya wageni na wateja watarajiwa, kuhisi wako katika sehemu yako. Wasiliana nasi ili upate huduma zetu ambazo zitakuletea mtizamo wa hali ya juu kabisa kutoka kwa wateja wako.

Video za Drone
Je, unatafuta taswira nzuri za shughuli au biashara? Kwa vifaa vyetu vya kisasa vya drone, tunaweza kukutengenezea videog za angani, yani aerial videos. Timu yetu ina ujuzi na uzoefu wa hali ya juu, na tunatumia teknolojia na mbinu za kisasa kutoa video za ubora. Iwe unahitaji huduma za video kwa ajili ya kibiashara au shughuli ya kibinafsi, Who Media iko pamoja na wewe. Wasiliana nasi.

Video za Drone
Je, unatafuta taswira nzuri za shughuli au biashara? Kwa vifaa vyetu vya kisasa vya drone, tunaweza kukutengenezea videog za angani, yani aerial videos. Timu yetu ina ujuzi na uzoefu wa hali ya juu, na tunatumia teknolojia na mbinu za kisasa kutoa video za ubora. Iwe unahitaji huduma za video kwa ajili ya kibiashara au shughuli ya kibinafsi, Who Media iko pamoja na wewe. Wasiliana nasi.
+ Meet Our Team
A multi-disciplinary team that delivers results. Each member has their own specialism

Founder & Creative Director
Feisal Abasi
Feisal is the Founder and Creative Director. With a passion for innovation and unique media solutions, he leads all creative projects within the studio. Under his leadership, Who Media continues to thrive, setting new standards in the industry within Tanzania. A true visionary with a passion for story-telling, he leaves no stone unturned.

Videographer/ Editor (Supervisor)
Rajabu Mzeru
Rajabu Mzeru is a skilled videographer and editor with a passion for storytelling. With 4 years industry experience. He crafts compelling visual narratives that engage audiences. As a supervisor, he manages the team at events and equipment whilst ensuring client management is never compromised.

Cinematographer/ Director of Photography
Steven Mshihiri
Steven Mshihiri is a skilled cinematographer and director of photography known for his ability to blend storytelling with stunning visuals. With a keen eye for detail, he has worked on various projects, earning recognition for his innovative approach and technical expertise in the industry.

Sound Technician/ Engineer
Hosea Njalika
Hosea is a talented sound engineer with a passion for creating immersive audio experiences. With extensive experience in the music and film industries he specialises in mixing and mastering, that every project he works on is polished to perfection. His keen ear for detail and innovative approach have earned him recognition among his peers. Hosea uses the power of sound to tell stories and elevate any production.

Managing Director
Rouwaida Dugawalla
Rou is the Managing Director, bringing a wealth of experience and operational efficiency to our team. Her passion for business drives her commitment to and collaboration with clients, ensuring that every project aligns with goal of delivering exceptional results. With her leadership, we ensure that every project is delivered on time and exceptional quality.

Marketing Manager
Belinda Shija
Belinda Shija is the Marketing Manager at Who Media, driving innovative strategies to enhance brand presence. She leverages data analytics to optimise campaigns and customer engagement. Her expertise in social media and content creation contributes to the success of every company we work with.

Photographer/ Editor/ Motion Graphics Designer
Solomon Haule
Solomon is a versatile photographer, editor, and motion graphics designer with a passion for visual excellence. With an eye for detail and a knack for creativity, he brings concepts to life through stunning imagery and designs. Solomon strives to deliver captivating visuals that resonate with audiences and brands.
+ Huduma zetu za Biashara
+ Clients
Trusted by organisations creating impact, shaping industries and building communities.





































